Makamu wa Mkuu wa chuo Mpya

Makamu wa Mkuu wa Chuo mpya Profesa Raphael Chibunda ameanza kazi rasmi baada ya kutambulishwa kwa wanajumuiya/ wafanyakazi wa Chuo.

Profesa Chibunda ametambulishwa rasmi tarehe 09/05/2017 na Makamu wa Mkuu wa Chuo aliyemaliza kipindi chake cha uongozi Profesa Gerald C. Monela, katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa Multipurpose. Kampasi kuu.

kwa taarifa zaidi http://www.suanet.ac.tz/index.php/270-allarticles/891-makamu-wa-mkuu-wa-chuo-mpya-atambulishwa-na-kuanza-kazi-rasmi

 

OUR ADRESS

College of Social Science and Humanities (CSSH)
P. O. Box 3035 Chuo Kikuu, Morogoro, Tanzania
TEL/FAX: +255 023-264360, +255 023 2604279, 4758, Ext. 4404, 4405
Email: cssh@suanet.ac.tz;

Connect with Us!