News

Farmers’ Field Day

Famers day in the field

Mradi wa RIPAT-SUA, ambao untatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Shirika lisilo la kiserikali la RECODA (Research, Community and Organizational Development Associates) unawezesha wakulima Wilayani Mvomero na Manispaa ya Morogoro kutumia teknolojia mbalimbali za kilimo na ufugaji. Mradi huo ambao ni sehemu ya makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati ya SUA na RECODA

recoda group photo

Kwenye picha ya pamoja ni Mgeni Rasmi (wa nne toka kulia, Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Eng. Emmanuel Kalobelo, Makamu wa Mkuu Chuo, SUA, Prof. Raphael Chibunda wa tatu toka kulia, akifuatiwa na mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bw. Michael Waluse na mwisho Mratibu wa mradi Dkt. E.T. Malisa; toka kushoto ni mwakilishi wa Rasi wa Ndaki CVMBS, Dkt. Luziga, Rasi wa Ndaki ya Sayansi za Jamii na Insia, Dkt. S.J. Kabote, na Mkulima wa Kata ya Magadu, Bw. Musa Muhidin)

 Sokoine University of Agriculture

Viva voce

Personality Traits of hihg-Performing Lead Farmers in farmer to Farmer Extension: Acase of the Rural Initiatives for Participatory Agricultural Transformaton approch, Tanzania by Dominick E. Ringo

Dr.Dominick Ringo

 

Page 1 of 3