May 21, 2023

Day

ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU Rural Development Voluteers Association (RDVA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine kuchangia damu kwa wananchi wote wa Tanzania hasa wananchi wa Morogoro na mikoa jirani katika wiki ya maonesho ya kumbukizi ya hayati Edward Sokoine katika uwanja wa maonesho kampasi ya Edward Moringe SUA Morogoro
Read More