BO Togel Bandar Togel Casino Online Bandar Togel Bandar Togel Toto Togel Daftar Togel Bandar Togel Terbesar Slot Gacor BO Togel
Uelewa katika sekta ya kilimo utaondoa mitazamo hasi kuhusu kilimo nchini- Dkt. Nyanda - College of Social Sciences and Humanities | Sokoine University of Agriculture

Uelewa katika sekta ya kilimo utaondoa mitazamo hasi kuhusu kilimo nchini- Dkt. Nyanda

Hits: 4

Akiwasilisha matokeo ya utafiti wa Mradi wa SATTA, Aprili 13, 2023 Jijini Dodoma juu ya Ushirikiano ya Wizara Mama za Sekta ya Kilimo katika kuleta Mapinduzi ya Kilimo Tanzania, Mtafiti kiongozi wa Mradi huo Dkt. Suzana Nyanda, Mtafiti Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) amesema utafiti wao umeonyesha kuwa kulikuwa na tofauti kubwa katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Awamu ya kwanza (ASDP I) na Awamu ya Pili (ASDP II). ASDP I ilifanikiwa katika kujenga miundombinu ili kuwawezesha wakulima kuzalisha kwa tija.

 

Related Posts