April 14, 2023

Day

Akiwasilisha matokeo ya utafiti wa Mradi wa SATTA, Aprili 13, 2023 Jijini Dodoma juu ya Ushirikiano ya Wizara Mama za Sekta ya Kilimo katika kuleta Mapinduzi ya Kilimo Tanzania, Mtafiti kiongozi wa Mradi huo Dkt. Suzana Nyanda, Mtafiti Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) amesema utafiti wao umeonyesha kuwa kulikuwa na tofauti...
Read More