Kupandishwa kwa bendera ya Chuo

Siku ya Jumatatu, tarehe 31/12/2018 mbele ya Jengo kuu la Utawala katika eneo rasmi la Bendera hapa Kampasi Kuu ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) kulifanyika hafla fupi ya kupandishwa rasmi kwa Bendera yetu ya Chuo ambapo Mgeni rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Makamu wa Mkuu wa Chuo Prof.  Raphael  T. Chibunda.

SUA flag

Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Prof Raphael Chibunda akisaidiana na Mkuu wa Usalama wa SUA Afande Mtunguja kupandisha bendera ya SUA hii ikiwa ni mara ya kwanza tangu kupatikana kwa bendera hiyo ya Chuo.

SUA Staff